Siku moja
tu imesalia kabla ya pambano la kimataifa la masumbwi, kati ya wakali
wawili Manny Pacquiao na Floyd Maywether the money team,ambao watapanda
ulingoni na kutusanua nani mkali zaidi.
Jana kwa
nyakati tofauti wakali hawa walizungumza na fans waliofurika katika
ukumbi wa MGM grand, Mayweather jr amedai kuonesha uwezo na kumchapa
mfilipino huyo
alitamba TMT.
Kwa upande wake mwanamasumbwi Pacquiao amedai hakuwahi kumuogopa Floyd na wala hadhani kama atachezea kichapo
Pacquiao alifunguka.
No comments:
Post a Comment