Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu.
Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City.
Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini usiku huu.
Wasanii wa Yamoto Band wakiwa wametulia tayari kwa shoo ya usiku wa leo.
Mpiga Picha Mkuu wa Global Publishers, Richard Bukos (kati) akipozi na watangazaji Sauda Mwilima wa Star TV(kulia) na Khadija Shaibu 'Dida' wa Times FM.
Wanausalama wakiwaondoa baadhi ya watu waliokosa tiketi.
Baadhi ya mabango waliyokuwa nayo mashabiki wa Diamond.
MATUKIO KATIKA PICHA NYUMBANI KWA MAREHEMU
-
Baadhi ya Viongozi kutoka taasisi mbalimbali pamoja na waliowahi kushinda
taji la Miss Tanzania kwa nyakati tofauti na waombolezaji wakiwa wamewasili ...
Kesi ya Zumaridi yapangiwa hakimu mpya
-
Hakimu Monica Ndyekobora ameondolewa kusikiliza shauri la jinai namba
12/2022 linalomkabili Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wenzake
83 bad...
No comments:
Post a Comment